Hahaaa Aise. .mbona wanajilisha upepo kiasi hicho. ...Hiyo ndio ile inayoitwa ukitaka kupaa kwanza agana na nyonga. ..
Hawakufanya utafiti wa kutosha vyema kabla ya kutaka kuivunja hiyo ndoa. .... Miaka kadhaa iliyopita Uingereza ilikuwa ndio super power ya euro kwa kiasi kikubwa. ..Lakini kwa sasa Mataifa mengine kama ujerumani tayari yameshaanza kuirejesha heshima Yao uchumi -na kuwa miongoni mwa nchi zenye ushawishi mkubwa Ulaya. ..