Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,430
- 4,921
naomba msada wenu wadau nataka ninunue toyota funcargo,sijawahi kuitumia sijui lolote kuhusu uzuri na ubaya wake.
nimelipenda kwa kuwa lina Engen capacity ndogo na linafaa kwa familia,pia litanisaidia kupunguza budget ya mafuta kwa mimi ninayekaa nje ya mji
hapo nyuma nimetumia ipsum ila nilabugia mafuta mengi na limekuwa rafiuki wa garage kila weekend......
natanguliza shukrani...............