Basi tuwaombe ndugu Maxence Melo na timu yake watusaidie kuuwekea sticker uzi huu ili wengi weweze kuuona na kutoa somo zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia.. Kupatwa kwa mwezi dunia inakuwa kati ya jua na mwezi hivyo kivuli cha dunia kunaangukia kwenye mwezi na ndo huitwa kupatwa kwa mwezi (lunar eclipse)Ni kitu gani kimeuziba mwezi muda huu?
Na je universe ni nini?
Je kuna uwezekano wa kuwa na universe zaidi ya moja?
Gallax nayo ninini?
pitieni humu humu ndani??
Hili ndilo somo tunalokisubiri kutoka kwa akina Kifyatu na wengine ambao kwa sasa muda umewabana japo tunaamini watakuja kuendelea na kutoa elimu hiyo.Na je universe ni nini?
Je kuna uwezekano wa kuwa na universe zaidi ya moja?
Galaxy ni kisehemu cha himaya mjumuiko wa pamoja wa nyota katika anga.
Universe ni AngaNa je universe ni nini?
Je kuna uwezekano wa kuwa na universe zaidi ya moja?
Universe ni Anga ni Infinity yani Hakuna mwanzo wala mwishoNa je universe ni nini?
Je kuna uwezekano wa kuwa na universe zaidi ya moja?
Ni kweli lakini halina uwezo wa kupenya hewa ya Ukinzani (gravitation force) inayotokana na kufuriwa katika mzunguko wa dunia.Kuna tetesi nimezisikia kua kuna jiwe kubwa litapita karibu kabisa na dunia yetu wadau imekaa vipi hii kuna alieisikia hii atufafanulie vizuri
Mkuu universe ni mjumuiko wa vitu vinavyopatikana kwenye anga/space.. ambapo ni black holes,nyota,sayari,vimondo,viumbe n.k n.k yani ukisema universe ni kama umezungumza vitu vyote vinavyopatikana kwenye anga/space.Universe ni Anga
Hakuna Universe zaidi Universe Anga ni moja tu