Hii iko chuo gani mkuu?? Kwa kifupi tu ni mjumuisho wa mechanical eng na electronics!
hii inatolewa pale must ila nimeona diploma only ila sijaipata poa ikoje yan pamoja na kazi zake zikoje?Hii iko chuo gani mkuu?? Kwa kifupi tu ni mjumuisho wa mechanical eng na electronics!