mkweli muaminifu
Member
- Feb 24, 2018
- 26
- 7
Habari zenu wakuu. Naombeni msaada wa ufafanuzi wa kozi hizi kwa ngazi ya cheti na diploma unatakiwa ufaulu nini na nini kwa mwanafunzi wa O-level
1.Computing and information communication technology
2.computing and information technology
3.information technology
4.information communication technology
5.computer sciences
6.computer engineering
7.communication system technology
Na je ukisoma moja ya kozi tajwa hapo unakuwa unashughulika na kazi gani na pia utaweza kujiajili? Naombeni msaada siku zimekwisha sina cha kuwajibu wazazi wanataka nikaripoti shule nikasome HKL ,Msaada tafadhali