Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,211
- 42,074
Ni wao hata kwenye original hakuna!Wewe umesahau au wao
Ni wao hata kwenye original hakuna!Wewe umesahau au wao
Hiyo ni kwa wale wote wanao endelea kupata mikopo!Vipi diploma au ndo
Lakini kwa jinsi ninavyojua grants ni tofauti na mikopo hivyo, possibility ya kupata mkopo ipo pale pale regardless of u'r division....Dah aisee sitak kuamin maana wanafunz wengi watakosa mikopo.. Wengi advanced level ni wnapata kuanzia 3 na 4
Mkuu hii post yako kila uzi unaulizia ubaya wake wakikuelekeza unasema umeelewa yule mkuu hernandez si alishakwambia kweny ule uzi mwingineWanaposema means test scores wanamaanisha nini mkuu
Ndiyo Non-priority!Hivi kweli ualimu kwa masomo ya arts katika swala la loans inaweza ikawa non-priority msaada please
SCHEDULE I – APPLICATION AND AGREEMENT FOR GRANTS.
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
No. 8, Block No. 46, Sam Nujoma Road, Mwenge; P.O.Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286; E-mail: info@heslb.go.tz;
Website: www.heslb.go.tz
APPLICATION AND AGREEMENT FOR GRANTS
Part I APPLICANT’S PARTICULARS
Full Name: _______________________________________ Sex:______
Date of Birth:________________________
District:___________________
Region:_____________________________
:________________________
Mobile Phone:_______________________
2: EDUCATIONAL BACKGROUND
Name of O-level Secondary School:________________________________
Affix applicants photo
(passport size)
1: APPLICANT’S PERSONAL DETAILS
19
Form Four Index :_________________
Name of A-level Secondary School :___________________________
Form Six Index :_________________
Grade Attained : (eg. Div I,II etc)________________________________
College Name:__________________________ Course____________________
Class attained: (first, second, etc):_________________________________
3: CURRENT COLLEGE DETAILS
Name of University/ College:________________________________ Reg. No: _____________
Course Registered:__________________________ Course duration:________________________
Expected year of graduation ________________
4: APPLICANT’S DECLARATION
I __________________________ hereby declare that all the information I provide in this application form, part of which is contained herein, is true to the best of my knowledge and that, I am fully aware that legal action can be taken against me in the event that the information given by me is found to be FALSE or misleading.
Applicant’s Full Name: ________________________________Date:
__________Signature___________
5: THIS PART MUST BE FILLED BY THE DEAN OF STUDENT OF STUDENTS/DIRECTOR OF STUDIES
I certify that the information given above is correct and that the applicant is a bonafide student of this Institution.
Full name of Dean /Director of studies ___________________________________
Date: ___________ Put Official Stamp here
Signature: _________________________
20
Hayo n maelezo ya grant na siyo loanWanabodi,
Nimesikia tetesi nyingi mitàani kuwa watakaopata division one na two ndio watakaopata mkopo mwaka wa masomo 2016/17. Naamini hii yaweza kuwa tafsiri sahihi/isiyo sahihi ya sehemu hii kwenye guideline yao hii waliyoitoa hivi karibuni. Naomba tuijadili kwa pamoja, ili wote waondokane na huo mkanganyiko
Angalia zaidi sehemu yenye colour
asante kwa mchango mzuriHayo n maelezo ya grant na siyo loan
Ikumbukwe grants n free aka hulip baada kusoma
nikupe zawadi?Grants ni tofauti na loan, grants haulipi na wala sio deni kwa anaesomeshwa ni msaada wanaopewa watu bure sasa ndo hao wenye 1 na 2 ndo watapata grants na baadae wakimaliza kama fadhila kwa nchi watafanya kazi nchini kwa miaka kama mitatu ndipo waende watakapotaka wao...ila wenye 3 na wengineo mnaweza pata loan ila sio grants ambapo baadae hiyo loan mtalipa...nafasi ya hizi grants wanapewaga watu wachache sio kwamba wenye 1 na 2 wote watapata hizo grants.Hope nimekuweka kwenye mwanga kidogo dear..