Ufafanuzi kuhusu wenye Divisions hizi watakaoweza kupata mkopo kutoka HESLB 2016/17

Hivi kweli ualimu kwa masomo ya arts katika swala la loans inaweza ikawa non-priority msaada please
Ndiyo Non-priority!
Ila ni tofauti na Watu Wanavyosambaza Pumba! Maana ya Non-priority Haimaanishi Ndiyo Hakuna Mkopo na Watu Wasiapply, Hapana!!!
Non-priority Ni Kuwa Uwezekano Wa Kupata Mkopo Upo Mkubwa Sana, ila tu Disadvantage yake ni moja, Kwanza Watapata Mkopo Priority wote Cluster 1 & 2 ndiyo Kama Bajeti inaruhusu hapo wataangaliwa wao.
Kwahiyo Watu Wa Arts Wanapaswa Wajaze Fomu na Kuomba Mkopo Kama Kawaida Na Wala Wasisikilize Maneno Ya Watu Kuwa Hakuna Mkopo Kwa Arts, Huo ni Uongo Kwani Kwenye GuideBook ya HESLB hakuna Kipengele Kilichozungumza Hivyo.

Mkopo upo ila sio Priority tu.
 
SCHEDULE I – APPLICATION AND AGREEMENT FOR GRANTS.
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
No. 8, Block No. 46, Sam Nujoma Road, Mwenge; P.O.Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286; E-mail: info@heslb.go.tz;
Website: www.heslb.go.tz
APPLICATION AND AGREEMENT FOR GRANTS
Part I APPLICANT’S PARTICULARS
Full Name: _______________________________________ Sex:______
Date of Birth:________________________
District:___________________
Region:_____________________________
:________________________
Mobile Phone:_______________________
E-mail
2: EDUCATIONAL BACKGROUND
Name of O-level Secondary School:________________________________
Affix applicants photo
(passport size)
1: APPLICANT’S PERSONAL DETAILS
19
Form Four Index :_________________
Name of A-level Secondary School :___________________________
Form Six Index :_________________
Grade Attained : (eg. Div I,II etc)________________________________
College Name:__________________________ Course____________________
Class attained: (first, second, etc):_________________________________
3: CURRENT COLLEGE DETAILS
Name of University/ College:________________________________ Reg. No: _____________
Course Registered:__________________________ Course duration:________________________
Expected year of graduation ________________
4: APPLICANT’S DECLARATION
I __________________________ hereby declare that all the information I provide in this application form, part of which is contained herein, is true to the best of my knowledge and that, I am fully aware that legal action can be taken against me in the event that the information given by me is found to be FALSE or misleading.
Applicant’s Full Name: ________________________________Date:
__________Signature___________
5: THIS PART MUST BE FILLED BY THE DEAN OF STUDENT OF STUDENTS/DIRECTOR OF STUDIES
I certify that the information given above is correct and that the applicant is a bonafide student of this Institution.
Full name of Dean /Director of studies ___________________________________
Date: ___________ Put Official Stamp here
Signature: _________________________
20

Mkuu hii form inajazwa wakati gani na nani?? unaituma wapi? ama unataka kunambia baada ya kujaza form ya mkopo unaambatanisha na hii kuzituma pamoja?? nimeziona mwisho guideline.
 
Wanabodi,

Nimesikia tetesi nyingi mitàani kuwa watakaopata division one na two ndio watakaopata mkopo mwaka wa masomo 2016/17. Naamini hii yaweza kuwa tafsiri sahihi/isiyo sahihi ya sehemu hii kwenye guideline yao hii waliyoitoa hivi karibuni. Naomba tuijadili kwa pamoja, ili wote waondokane na huo mkanganyiko
adb58443437ccfcb74073844ddc6c47c.jpg


Angalia zaidi sehemu yenye colour
Hayo n maelezo ya grant na siyo loan
Ikumbukwe grants n free aka hulip baada kusoma
 
Grants, ni kwamba anapewa mkop bt hata rudisha, na hiyo sio kwamba ni mwaka huu tu!, bt ni hata miaka ya nyuma ipo
 
Grants ni tofauti na loan, grants haulipi na wala sio deni kwa anaesomeshwa ni msaada wanaopewa watu bure sasa ndo hao wenye 1 na 2 ndo watapata grants na baadae wakimaliza kama fadhila kwa nchi watafanya kazi nchini kwa miaka kama mitatu ndipo waende watakapotaka wao...ila wenye 3 na wengineo mnaweza pata loan ila sio grants ambapo baadae hiyo loan mtalipa...nafasi ya hizi grants wanapewaga watu wachache sio kwamba wenye 1 na 2 wote watapata hizo grants.Hope nimekuweka kwenye mwanga kidogo dear..
nikupe zawadi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom