Madhara makubwa ya baadae ni ini na wengu vitaathirika,tumbo kujaa na baadae ni kifo.Kuna rafki yang mmoja anaugonjwa wa kichocho Miaka 6 sasa Lakn kila akifkilia swala la ktmia dawa anachkulia poa naksema ntatumia tu Sasa nataka tujuzane je itakua inamadhara sana kwa mda alokaa nao
Majibu yote ni hapo juuKichocho cha mkojo lakn anadai kwamba maumiv haskii sana ila sku mojamoja ndo anaona baada ya kukojoa dam hutoka kidogo