Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Wewe fedha unazo ndiyo maana haupo serious kufuatilia. Lakini wapo wataalam watakuja humuHeshima kwenu wakuu wangu:
Kuna network moja nafanya nayo kazi online sasa imefkia hatua ya kupokea payment na wanataka kutuma kwa cheque lakini wamesisitiza niulize kwanza je naweza ku cash cheque iliyotoka bank ya CANADA kwa USD??
sasa wakuu mimi kusema kweli sielewi lolote kuhusiana na mambo ya cheque, nilijaribu kuwasiliana na CRDB jana lakini naona tulipishana kidogo kwenye maelezo hivyo sikuambulia kitu, naombeni ufafanuzi je niki request hyo cheque ije ntaweza kui cash?? na kama ntaweza ni bank ntaweza kufanya hivyo??
haya hapa chini ndio maelezo ya hyo network nnayofanya nayo kazi
View attachment 619837
asante.
ipo option ya wire transfer mkuu lakini ni minimum payout ni kubwa mno siwezi kufikia ndani ya miezi hata mitatu, option rahisi kwangu ni cheque ndio maana natafta solution nijue kama ntaweza kui cash kweliWaache uhuni hao wafanye bank fund transfer kutoka kwao pesa iingie kwenye akaunti yako wewe watumie swift code ya bank yako na namba yako ya akaunti waipige hiyo cheque yako hukohuko kama hawalipi pesa mkononi.
Kuhusu check kama wadau walivyokuambia Hapo juu ni uongo. The solution ni kuwapa swift code na akaunti yako ya benki wafanye fund transfer ziingie moja kwa moja kutoka Canada. And not otherwiseipo option ya wire transfer mkuu lakini ni minimum payout ni kubwa mno siwezi kufikia ndani ya miezi hata mitatu, option rahisi kwangu ni cheque ndio maana natafta solution nijue kama ntaweza kui cash kweli
Kuhusu check kama wadau walivyokuambia Hapo juu ni uongo. The solution ni kuwapa swift code na akaunti yako ya benki wafanye fund transfer ziingie moja kwa moja kutoka Canada. And not otherwise
Cheque inawezekana ikiwa watakutumia inayo itwa "bank draft" in US$ - lakini utakapo iweka kwenye account yako hapa itachukua muda mpaka pesa ziingie kwenye account yako sababu lazima benki yako waiwasilishe kwenye benki huko ilikotoka ( clearing ) na kuchukua pesa ndio wakuwekee kwenye account yako hapa.
Inaweze kuchukua mwezi na zaidi na pia kuna gharama utalipia. Hii njia siku hizi haitumiki sana sababu wire transfer imekua ndion njia nyepesi na rahisi. Vinginevyo fungua account ya paypal na waambie wakuwekke humo
MUHIMU - angalia utapeli umezagaa sana - hakikisha hutoi bidhaa au huduma bila pesa mkononi au dhamana ya benki