Ufafanuzi juu ya Laboratory Assistant

Jun 28, 2021
5
6
Habari naomba kufahamishwa juu ya course ya Laboratory assistant inayotolewa na vyuo vya ufundi (VETA) ni mahala gani watu wanaosoma hi kozi hii Wanahitajika.

Pia sifa za watu wanaosoma kozi hii.
 
Nitakujibu kulingana uelewa wangu mdogo kuhusu hii course maana sijasoma hii course, course mama ya hii kitu inaitwa laboratory technician, ni watu ambao wanadili na kufanya utatuzi juu ya vimelea vya maradhi

Kifupi hawa watu ndio unawapelekea damu maabara nawao wanacheki ina matatizo gani Ila Kwa upande wa infection na infestation, mfano wanacheki Malaria,UTI,HIV,Minyoo nk

Turudi kwenye mada sasa, tunaongelea Laboratory Assistant, na maana ya Assistant ni msaidizi kwahiyo naamini umepata mwanga hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi hawa watu ndio unawapelekea damu nawao wanacheki ina matatizo gani Ila Kwa upande wa infection na infestation, mfano wanacheki Malaria,UTI,HIV,Minyoo nk

Turudi kwenye mada sasa, tunaongelea Laboratory Assistant, na maana ya Assistant ni msaidizi kwahiyo naamini umepata mwanga hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo..hiyo inaitwa medical laboratory sciences..ila kwa inayotolewa veta yenyewe inajihusisha zaidi na vipimo vya kikemikali katika viwanda ama mamlaka za maji kujua parameters mbalimbali...acha kupotosha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laboratory ni inshu pana sana hii unayoongelea ww ni maabara ya AFYA haitolew VETA labda anaulizia za viwandani
Nitakujibu kulingana uelewa wangu mdogo kuhusu hii course maana sijasoma hii course, course mama ya hii kitu inaitwa laboratory technician, ni watu ambao wanadili na kufanya utatuzi juu ya vimelea vya maradhi

Kifupi hawa watu ndio unawapelekea damu maabara nawao wanacheki ina matatizo gani Ila Kwa upande wa infection na infestation, mfano wanacheki Malaria,UTI,HIV,Minyoo nk

Turudi kwenye mada sasa, tunaongelea Laboratory Assistant, na maana ya Assistant ni msaidizi kwahiyo naamini umepata mwanga hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo..hiyo inaitwa medical laboratory sciences..ila kwa inayotolewa veta yenyewe inajihusisha zaidi na vipimo vya kikemikali katika viwanda ama mamlaka za maji kujua parameters mbalimbali...acha kupotosha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesoma ukaelewa lakini post yangu, Kwanza nimesema mapema kabisa kuwa nitaelezea Kwa uelewa wangu mdogo hivo nadhani ulipaswa kujua unadeal na mtu wa namna gani nasio kuruka tu na kuniita muongo

Turudi kwenye mada, Mie nimesoma Sua ambapo kuna degree ya laboratory ambayo ni BLS na Diploma ambayo ni DLT, hawa watu wanadeal na vimelea vya maradhi kuanzia kupima damu kwenye wanyama Hadi Kwa binadamu, ikiwa ni pamoja na kutengeneza culture ya bacteria, fungus na germs wengine

Kwahiyo Kwa upande wangu Niko sahihi nawewe ulitakiwa uje na msaada ambao ungemsaidia muulizaji na sio kuja kuniatack badala ya kutoa msaada kama ww unaona unaelewa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani twendeni taratibu rengo ni tuereweshane laKini yote kwayote Mimi nashukuru mmenifumbuwa macho
 
Ishu n pana kwa upande was maabara mkuu

ML ...Medical laboratory hapa wanahusika na uoimaji na utafiti wa vimelea vya magonjwa kwa binadamu

VL.. Veterinary laboratory hapa wanahusika na upimaji wa vimelea vya magonjwa na utafiti pia lakn kwa wanayama wanamaabara zao maalumu mfano pale temeke veterinary maabara yao inaitwa TVLA wao wanaenda mbal Zaid Zaid wanapima had vyakula yaan feed compounds kwa ajil ya wanayama

GL .. general laboratory hii ndio utaisoma huko veta nayo inahusika na upimaji wa kemikali viwandani na mambo mengi tu yanayo husiana na viwanda kiwe kiwanda cha cement vyakula na viwanda vingine

Jua tu laboratory procedures nyingi hufanana Sana tofaut yake n kidogo Sana
 
Habari naomba kufahamishwa juu ya course ya Laboratory assistant inayotolewa na vyuo vya ufundi (VETA) ni mahala gani watu wanaosoma hi kozi hii Wanahitajika.

Pia sifa za watu wanaosoma kozi hii.
Kwenye lab wanakuwa kama. Saidia fundi

Kuosha vyombo, kufanya usafi, wanawasaidia lab technician
 
Back
Top Bottom