Juzi katika hafla wakati Magufuli anamuapisha Waziri mkuu niliona mkuu wa Usalama wa taifa hakumpigia saluti magufuli, huku wenzake ( CDF, magereza, polisi nk ) wakiwa wamekunjuka saluti. Kwa nini ?[/QUOTE huwezi kupiga saluti ukiwa huna unifom...au ukiwa hujavaa sare
CDF=Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (majeshi yote nchini)
IGP=Mkuu wa jeshi la polisi
Nadhani utakuwa umeelewa
Nchi ina vijana wa hovyo 😂😂askari polisi na nyota zake mbili (Visoda) ndiye mwenye wajibu wa kukaza makalio na kumpigia saluti Luteni wa Jeshi
🤣🤣🤣🤣 Wengine nyota wanapewa na kina Stewart wa CCPKIBAO..,nyota yao inatolewa na raisi kutokana na ukubwa wa majukumu yao ya kuwa mstari wa mbele kulinda nchi kutoka kwa maadui wa nje..