Ufafanuzi: CHADEMA haijawahi kuwa na diwani wa kata ya Olasiti, Arusha

Wala usiangaike na huyo mama kichwani hazijatimia kabisa na fine atalipa!

kwa uchungu napenda kukosoa uwongo uliosemwa na huyo mama kuwa Lema alimtaka kimapenzi.

Katika madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti.

Madiwani waliofukuzwa ni kata ya Themi, Kijenge, Kaloleni na Elerai, yeye alikuwa wa kuteuliwa, kama yeye walimtaka kimapenzi akakataa na wenzie pia walitakwa kimapenzi?
 
Issue kubwa kwake ni hapo kutongozwa au kuvuliwa uanachama na CDM?

Hivi kesi aliyopeleka mahakamani ilikuwa ya kutongozwa au kupinga kuvuliwa uanachama? au kipi kwake kilikuwa muhimu? Hivi kweli hapakuwa na mtu wa kuchuja huu ushuhuda kabla huyu mheshimiwa kuutoa au ccm ndo kimekuwa chama cha kuletewa upuuzi huu?
 
Ni bora ccm wakaachana na mbinu za kizamani,sio vibaya wajipange kuanza mwanzo maana 2015 Watanzania watachukua nchi yao.
 
Kama hawa wa CDM aliwakataa kwa hiyo kaamua kuwakubalia CCM? Mbona mpaka atalegea viungo ninavyowajua walivyo na uchu na mambo hayo? Bora angeendelea kubaki CDM na msimamo wa kuwakatalia siyo kwenda CCM na msimamo wa kuwapa watamkomesha
 
Mleta mada mbona unawanga mchana kweupe? Unaposema hajatongozwa una ushaidi gani? We ndo huwa unamtongozea lema?
 
Weka hapa idadi ya wanawake waliotongozwa na lema halafu utupe na vigezo vilivyokusukuma hadi useme huyu hajatongozwa
 
Hata wabunge wa viti maalum hupenda kusema wao ni wabunge wa wilaya au jimbo flani so huyu hajakosea sema wewe ndio unatafuta umaarufu
 
Ni bora ccm wakaachana na mbinu za kizamani,sio vibaya wajipange kuanza mwanzo maana 2015 Watanzania watachukua nchi yao.

walishajipanga kuanzia kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani ndio mana walipata kata 22 nyie mkaangukia pua na kuambulia 5 only.
 
kwa uchungu napenda kukosoa uwongo uliosemwa na huyo mama kuwa Lema alimtaka kimapenzi.

Katika madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti.

Madiwani waliofukuzwa ni kata ya Themi, Kijenge, Kaloleni na Elerai, yeye alikuwa wa kuteuliwa, kama yeye walimtaka kimapenzi akakataa na wenzie pia walitakwa kimapenzi?

Maneno ya mfa maji hayo! Rehema alifukuzwa uanachama kwa kushiriki na kutekeleza mpango wa muafaka na CCM bila idhini ya CDM, kesi anayolalamikia ni wao waliifungua kupinga kufukuzwa uanchama, wakashindwa, wanatakiwa kuilipa CDM milioni 15.1 vinginevyo waende jela; machozi hayo ya juzi ni katika harakati za kutaka washirika wao CCM wawaonee huruma wawasaidie kulipa fidia hiyo ya CDM; hasa yeye ambaye katika genge zima ndio dhofili zaidi kiuchumi kuliko wengineo.

Tangu lini mwanamke akitongozwa anakwenda kushitaki kwenye mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?! amenikumbusha kibaraka mwingine wa CCM aliyekwenda kudai kunyang'anywa mke kwa Mugosi Makamba akiwa katibu Mkuu wa CCM then!!

Hongera CCM kwa kujinyakulia mwanachama mahiri! kaeni chonjo na huyo binti aliwahi kula njama mwanae wa kumzaa akatekwa akafichwa nchini Uganda kisha akawachangisha nduguze pesa nyingi za kumkomboa kana kwamba alikuwa ametekwa kweli!! she is capable of doing anyathing for money na hakika CCM is where she belongs.
 
ni kazi ya pepo wachafu kueneza uongo,hata kipindi cha yule bwana wa kalvari walimuita mkuu wa mapepo sababu alifichua wote, naamini hata huyu dada ni kipepo kidogo tu hakina hata nguvu ya kumuangusha mtu,shindwa pepo mchafu wa ukahaba
 
kwa uchungu napenda kukosoa uwongo uliosemwa na huyo mama kuwa Lema alimtaka kimapenzi.

Katika madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti.

Madiwani waliofukuzwa ni kata ya Themi, Kijenge, Kaloleni na Elerai, yeye alikuwa wa kuteuliwa, kama yeye walimtaka kimapenzi akakataa na wenzie pia walitakwa kimapenzi?

Usipende kukurupuka kuandika thread tu bila tafiti ebu tutajie diwani wa viti maalum wa Chadema aliyefukuzwa Arusha ukiishamtaja basi ndio utajua.
 
Mkuu naona kama wewe ndo umekurupuka hapo.. Anachosema mtoa mada ni Kati ya madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti.. Na kwamba huyo mwanamke alikuwa ni diwani wa viti maalum.. Unless kama una ushahidi tofauti na huo..
 
Back
Top Bottom