Mrs chaudevu
Member
- Dec 13, 2012
- 21
- 1
Habari za saiz wanajamiiforum, Kwa jina naitwa Martha Christian nasoma chuo kikuu Tumaini Makumira mkoa wa Arusha mwaka wa kwanza, faculty of Humanity and social science(EDUCATION). Natafuta mfadhili au ufadhili kwa mtu kampuni au shirika atakayeweza kunsaidia katika kujisomea elimu ya MASTERS baada ya kumaliza degree mwaka 2015 mwez wa 7. naomba sana msaada wenu kama Watanzania wenzangu, kwa mawasiliano zaidi, 0657440107 au email -mramba.martha@yahoo.com ahsanten