Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 8,988
- 11,862
SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026
Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na Sayansi Shirikishi.
Muda: mwisho wa kutuma maombi ni 30 Oktoba 2025 kupitia: 👉 studyinsaudi.moe.gov.sa/Universities.
View: https://www.instagram.com/p/DNlhWyxCVQr/?igsh=aDlrejJwZGM4c3Y0