Ufadhili LLB-out

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Nimechaguliwa kusoma LLB Chuo Kikuu OUT lakini nimechelewa kuanza sababu sina Ada. Wadau nisaidieni jinsi ya kupata mdhamini. Nafaya kazi lakini mshahara haukidhi.
 
Mshahara hautoshi? Kopa Bank mkuu au nenda kwenye mfuko wako wa hifadhi ya jamii watakukopesha kwa ajili ya elimu
 
Mshahara hautoshi? Kopa Bank mkuu au nenda kwenye mfuko wako wa hifadhi ya jamii watakukopesha kwa ajili ya elimu

Nize Nakushukuru Sana ndugu yangu. Nitajaribu ingawa mwajiri wangu hajapeleka michango miezi 100!
 
Eti mil.4 tu zinikoseshe masomo ya kozi niipendayo ya LLB
 
Back
Top Bottom