Kati ya vichochezi vinavyo ongoza kusababisha ajali za barabarani usiku ni dereva kuwa amelewa. Wengi wamekuwa vilema na familia kupoteza wapendwa wao kutokana na kosa hili. Main highways zinazotoka bar zinafahamika ila usiku polisi hawaweki road stops kukagua madereva wahalifu. Sheria zetu za barabarani zinasemaje kuhusu kosa hili na kwanini polisi wetu hawatilii mkazo kudhibiti swala hili?