kapolo
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 303
- 101
Magari ya serikali yamekuwa yakilalamikiwa sana kwa Uendeshwaji mbaya usiojari usalama kwa watumiaji wengine wa barabara.
Mwaka jana walinisababishia hasara ya kuchana tairi nilipokuwa nikijaribu kuwakwepa hawa ndugu maeneo ya Mkata.
Last week wamemkosa kosa mtoto kwenye eneo la makazi.
Nashauri wajijengee barabara zao wawe wanapita wenyewe. Kuna muda huwa nawaza labda wenzetu wana miili ya spare.
Askari wa usalama barabarani hawana cha kuwafanya hawa ndugu zetu wenye roho za chuma.