fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,223
- 1,267
Vip upo duniani. Naona uligongwa ukapoteaTafadhali sana mchezo mfumo huo huo mechi ya marudiano na Arsenal. Tungependa mno tuwagonge 3 zingine mkiwa na huo wazimu wenu.

Nimekutana na hii post Leo. Ni kweli Mustafi alimpakata Diego kama ulivyosema.Kwani Everton ndio kipimo chetu? Kwa hiyo unataka kuniambia second leg Diego Babu hatopakatwa na Mustafi Madevu sababu tu umemfunga Everton 5?
We mtamu tu babu, kampa ...utatupa tena. This time utakula 2 nyumbani kwako. Jiandae kupaki tupakue

Mimi mkongwe wewe, sipigwi tatu bilaVip upo duniani. Naona uligongwa ukapotea
First leg ilikuwa 3 -0Nimekutana na hii post Leo. Ni kweli Mustafi alimpakata Diego kama ulivyosema.
Second leg
Chelsea 3 vs Arsenal 1
Haaaaa bali unapigwa 3 mojaMimi mkongwe wewe, sipigwi tatu bila
Sikatai mkuu. Nawe tukakubamiza kirohoo safiFirst leg ilikuwa 3 -0