Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
Weka akiba ya maneno, hakuna jambo jipya chini ya jua. Huo mfumo au kushinda mechi 10 mfululizo ndio kitu kipya kwako?
Nadhani tupo Dunia tofauti kwenye haya mambo ya soka, hakuna aliyesema huo ni mfumo mpya. conte keshawahi utumia Juve na pia timu ya taifa
Point ni kuwa
Chelsea alianza league vibaya, Conte alianza na mfumo wa beki wanne, Inanovic, Luis, Terry/Cahill na kushoto Azip na pamoja na beki hizo timu ilipoteza mechi za muhimu ya Liver na Gunners, lakini mafanikio ya sasa Chelsea yanatokana na huo mfumo wa 3:4:3, kama wewe hulioni hilo ndio nasema tupo dunia tofauti