Uelekeo wa madishi

Uelekeo wa madishi

NANGI NYANDA

Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
39
Reaction score
6
MSAADA WADAU!
Nipo najifunza taaluma hii ya madishi ila kuna
maelezo siyaelewi naomba kueleweshwa!
1) Hili swala la ueleke lina maana gan? Utajuaje
kama uelekeo huu ni wa Azam, DSTV au
zinginezo?
Kwa leo mnisaidie hilo wadau
 
Back
Top Bottom