monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,297
- 1,861
Muda mchache kutoka sasa Saa 4 dakika 45 za usiku kutakua na mechi 4 za Robo Fainal michuano ya Uefa Nations LEAGUE, updates zote utazipata hapa..
Binafsi naangalia mechi ya Netherlands vs Spain.
Utatu wa Reijnders kutoka Milan,De Jong kutoka Barca na Kluivert kutoka Bournemouth dhidi ya Ruis kutoka Paris,Pedri kutoka Barca na Zubimendi kutoka Real Sociedad naondoka na utatu wa akina Reijnders watashinda hii battle katikati ya uwanja ⚽⚽✊