UEFA kuiondoa sheria ya goli la ugenini

DROO ,dakika za nyongeza mpaka PENATI.
hilo goli uwa sioni umuhimu wake
Kwa hiyo ikitokea Ac Milan Kashinda goli tatu kwa moja ugenini
Halafu marudio kafungwa goli mbili kwa bila nyumbani keake. Je hapo atayesonga mbele ni yupi? Au nini kitafuata?
 
Itaondoa ladha na hamasa ya mpira.
Kama 3 - 1 , halafu ugenini kafungwa 2 - 0,
Maana hapo ni sare. Lakini itachezaji timu ugenini dk 30 na ziada halafu penalt.

itakuwa inaibeba timu ya nyumbani zaidi.
Halafu lile suala la mpira wa kurusha na mkono uwe na pigwa sehemu hiyo hiyo na mguu ?? Nalo sijui litakuaje.
 
Away goal ikiondoka timu zitafunguka mwanzo mwisho, mambo ya kupaki yatakwisha haki bin haki
 
Ingawa radha inapungua lakini pia ilikua inampa uhakika flani wa matokeo anaecheza away kama ikitokea akapata goli moja ama zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom