UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

Champions league semi final biggest win
( aggregate)
Bayern Munich 7:0 Barcelona

Spanish Super Cup biggest win
Athletico Bilbao 5:1 Barcelona

Champions league final biggest win
AC Milan 4:0 Barcelona

La liga Biggest win
Athletico Bilbao 12:1 Barcelona

Copa del rey biggest win
Real Madrid 11:1 Barcelona

2nd Biggest win in la liga

Sevilla 11:1 Barcelona

Chombadinho.wordpress.com
Record zote hizo kapigwa barcelona. Duh
 
Champions league semi final biggest win
( aggregate)
Bayern Munich 7:0 Barcelona

Spanish Super Cup biggest win
Athletico Bilbao 5:1 Barcelona

Champions league final biggest win
AC Milan 4:0 Barcelona

La liga Biggest win
Athletico Bilbao 12:1 Barcelona

Copa del rey biggest win
Real Madrid 11:1 Barcelona

2nd Biggest win in la liga

Sevilla 11:1 Barcelona

Chombadinho.wordpress.com

Mkuu kuna jamaa katoa ushauri mzuri tu hapo juu kuichukia barca kutawapa vidonda vya tumbooo
Barca hakuna wa kuizuia
Labda uilete ile timu yako ya kina van basten
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Champions league semi final biggest win
( aggregate)
Bayern Munich 7:0 Barcelona

Spanish Super Cup biggest win
Athletico Bilbao 5:1 Barcelona

Champions league final biggest win
AC Milan 4:0 Barcelona

La liga Biggest win
Athletico Bilbao 12:1 Barcelona

Copa del rey biggest win
Real Madrid 11:1 Barcelona

2nd Biggest win in la liga

Sevilla 11:1 Barcelona

Chombadinho.wordpress.com
mkuu na ac milan iko nafas ya ngap? hii timu ni maiti ilishajifia
 
Mkuu PNC 1 this tym barcelona mmeingia cha kike. Sioni ni namna gani mnaweza kutoka kwa juventus wenye njaa na ucl.

Sioni ni vp Real Madrid atachomoka kwa Bayern Munich. Timu tatu tu ndio zenye nafasi ya kunyanyua kwapa. Bayern, juve na Atletico Madrid.

Atletico Madrid ndio timu pekee kwa pale spain iliyopata mteremko kidogo. Naomba kwa ajili ya atletico Madrid wanyanyue ndoo. Ingawa katika sala zangu sitaacha kuitaja juventus turin.

Poleni Barcelona
Poleni Real Madrid
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kama nilivyotamani hapo awali iwe CELTA VIGO vs GENK na kweli imekuwa,pamoja nakuwa CELTA VIGO ni wagumu lkn naiona kabisa ikitoka nje round hii,viva SAMAGOAL.
 
Mkuu PNC 1 this tym barcelona mmeingia cha kike. Sioni ni namna gani mnaweza kutoka kwa juventus wenye njaa na ucl.

Sioni ni vp Real Madrid atachomoka kwa Bayern Munich. Timu tatu tu ndio zenye nafasi ya kunyanyua kwapa. Bayern, juve na Atletico Madrid.

Atletico Madrid ndio timu pekee kwa pale spain iliyopata mteremko kidogo. Naomba kwa ajili ya atletico Madrid wanyanyue ndoo. Ingawa katika sala zangu sitaacha kuitaja juventus turin.

Poleni Barcelona
Poleni Real Madrid
mkuu BARCELONA ni bingwa mpya UEFA na nilichojifunza kule Turin hata kama tukifungwa 4 ila iwe 4:1 au 3:1 au 5:2 ili wakija CAMP NOU tunawasambaratisha
 
Nawaheshimu Barcelona,niliwasifu sana walipooverturn matokeo dhidi ya PSG...BUT..
Hizi mechi mbili za quaterfinal dhidi ya MUITALIANO huyu anayeitwa Juve,nawashauri Barca watulize vichwa,this is probably the toughest games walizowahi kucheza recently,na wasahau kabisa ile final waliyompiga Juve,ile ni mechi moja,hizi ni mechi mbili nyumbani na ugenini,and i know the strength of Italian mentality kwenye hizi games za mtoano,especially at this stage,na pia status ya Juve kama underdog kwenye huu mtanange.

Juve ni wabaya sana wakiwa underdogs.
Kama Juve atashinda kwa goli moja mechi ya kwanza nyumbani,au Barca akashinda kwa goal difference ya 2 goals au zaidi pale Turin,then Barca atakuwa na nafasi nzuri kusonga mbele
Kama Juve atashinda goal difference ya 2,Barca atakuwa na wakati mgumu mechi ya pili,hawa sio wafaransa,these are italians.
Kama Barca atashinda kwa goli moja au kutoka suluhu au sare pale Turin,then Barcelona,with all due respect to this great team,ajiandae kucheza gemu ngumu ya maisha pale Camp Nou,na asipoangalia safari itaishia pale pale mbele ya mashabiki wake.
So the worst case kwa Barca ni kutoka sare mechi ya kwanza,ataenda kukimbizwa sana pale Camp Nou.
 
mkuu BARCELONA ni bingwa mpya UEFA na nilichojifunza kule Turin hata kama tukifungwa 4 ila iwe 4:1 au 3:1 au 5:2 ili wakija CAMP NOU tunawasambaratisha
Mkuu,cards pekee mliyo nayo Barca ni mbili tu,either kushinda Turin kwa goal difference at least 2 au Juve kushinda goli moja mechi ya kwanza.
Tofauti na hapo mtakuwa na tough game Camp Nou.
Usifikiri zile goli za PSG utazitengeneza kirahisi mbele ya Bonuci,Sandro,Benatia,Chiellini,Evra,etc,tena wakiwa well informed kuwa inahitaji kitu cha ziada kukushinda wewe na itakuwa honour kwao,which means utacheza nao wakiwa "die hard".
 
mkuu hata kwa PSG mlisema hvohvo
 
mkuu hata kwa PSG mlisema hvohvo
Hapana labda wengine,ila mimi mechi ya PSG niliwaambia watu kuwa Barca hajafa bado wasubiri second leg,wakabisha,kilichotokea ndio kile.
Sasa safari hii nawaambia Barca,msikubali sare yoyote Turin,ni heri hawa jamaa muwaachie goli moko kuliko kutoka nao sare,watakuja kuwauweni Camp Nou.Hao hawana haya hao,hata mshangilie kwa honi za treni uwanjani,wao wanafuataga game plan yao.
Njia pekee ya kummaliza Juve ni pale pale kwake,tena unapiga haswa,au kumuacha ashinde goli moko ili wakija Catalunya waje na yale mawazo yao ya kuficha makalio nyuma,huku mbele wewe unabikiri.
Kinyume na hapo,huyu bibi atafanya yake,ushawahi kuona bibi na bwana wanaingia chumbani ,wewe unajua jamaa anaenda kufaidi halafu unasikia makofi yanarindima humbani na sauti ya kidume inagugumia maumivu kila baada ya mlio wa kofi ha haa.
 
Angalau msimu huu tutaona power ya real Madrid tangu robo fainali sio kila siku big challenge wanakutana nayo fainali tu.
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Back
Top Bottom