Team za ugenini ndio zinashinda....kuna wingi wa penalt....kila team inajitahid kupiga cape exept at madrid....red card zinatolewa sana..tupia maajabu mengne uliyoona
Acha uongo goli la 2Arsenal kufungwa ilikuwa dk 87.11 sas hapo utasema ni dk 88 mmezoea kutudanganya eti!
ngoja nikufundishe hesabu ndogo....
dakika ya kwanza inaanza sekunde 0-sekunde60,dakika ya pili inaanza dk 1 sekunde 01.....dk ya 88 inaanzia dk 87 sekunde 01 kwahio technically dk ya 87.11 ni ndani ya dk ya 88.
Hata hesabu za makadirio huzijui kijana unalazimisha 11 iwe 60 je ikiwa zaidi ya 30 si utasema itakuwa 90!!!!! Kumbe hesabu ni janga kubwa kaisi hiki.
hayo sio makadirio.....dakika ya 88 INAANZIA 1 SECOND AFTER 87TH MINUTE.....key word INAANZIA.....na sio MAKADIRIO.....
Hujui hesabu wewe dk ya 87 inailazimisha iwe 88 nadhani utakuwa umevurugwa na matokeo ya Man United kuwa mabovu. Kama mitihani ndo mnajibu hivi ni haki yenu kufeli.
Hata hesabu za makadirio huzijui kijana unalazimisha 11 iwe 60 je ikiwa zaidi ya 30 si utasema itakuwa 90!!!!! Kumbe hesabu ni janga kubwa kaisi hiki.
haya genius wengine hao hawajui hesabu kama mimi
Arsenal v Bayern Munich â€" live! | Rob Smyth | Football | theguardian.com
BBC Sport - Arsenal 0-2 Bayern Munich
Arsenal FC vs FC Bayern München Player Ratings - Goal.com
Ozil penalty miss costly as Bayern throttle 10-man Arsenal - Champions League 2012-2013 - Football - Eurosport Australia
haya genius hao wote wajinga kama mimi maanake wanasema Mueller kafunga dk ya 88 tofauti na wewe genius unaesema ni dk 87.
Acha kuwa dhaifu unadhani huyo mwandishi wa habari anajua hesabu sana kwa kuwa ni mzungu? Hata wao vilaza wa hesabu ni wengi tu, na kumbuka jinsi media ilinavyoweza kudanganya au kukuza jambo hata kama si la kweli likaonekana ni sahihi kabisa. Kijana hujui propaganda nini hata kwenye mpira zipo!!!!!!!!!!
sawa MZEE....media zote wakosee waseme ni 88th???nipe shule kidogo propaganda gani ipo kwenye kusema goli ni dk ya 88 badala ya 87?
Ulikuwa wapi kuanzisha uzi siku zote? Sasa hapa unategemea tujadili nini wakati ligi imebakiza michezo mitatu na wengine miwil?
The Blues representing English football, again
Asante lakini weka ata kahistoria kidogo ka michuano na statistics mbalimbali
Ngoja ni google!
I dont tyhink that i bear any responsibility kuanzisha uzi!!! We kwan ulikuwa wapi ati? Isitoshe this is a special thread for UCL for several years not only for 2013/2014............ karibu sana!