UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
sijasema rahisi mie nashukuru kundi letu nimeridhika nalo, timu zingine watajijua wenyewe.
 
Mwaka huu utakuwa wa timu za England au Spain? Ebo hakuna chance ya Chelsea kucheza na Liverpool?

...Inshaallah watakutana tu either kwenye quarters, au semi... Manure, Manure, ....Manure eeehhh mko wapi?
 
Duh, Arsenal inabebwa kila kona, yaani hata wakichezesha watoto wa Carling Cup wapita.
 
...I cant wait kuwaangalia Manure wakicheza game zao kule Moscow kipindi cha winter kali! lazima wafungwe tu kwenye zile frozen pitch!...
 
Warusi watagaragazwa hukohuko kwenye matheluji yao, si utanambia?
 
...I cant wait kuwaangalia Manure wakicheza game zao kule Moscow kipindi cha winter kali! lazima wafungwe tu kwenye zile frozen pitch!...

Teh teh teh walitufunga na baridi lao final Moscow wakumbuka?
 
Duh, Arsenal inabebwa kila kona, yaani hata wakichezesha watoto wa Carling Cup wapita.
kwahio alio tubeba van de sar na john terry au ndio mtu akiishiwa cha kusema huwa anatamka tu lolote? makundi yamechaguliwa mbele ya macho yako na bado unahisi umeibiwa.hio inaitwa lack of confidence with ur team bro lool.
 
sijasema rahisi mie nashukuru kundi letu nimeridhika nalo, timu zingine watajijua wenyewe.

Duh Mr. Bean wa Bongo... HAdi humu bado unatype Arses special thread?? Basi Sorre, nilikuwa sijaelewa unazi umekukolea

Basi na mie naanza wiki ijayo...

Etoo Got his Karma return!!
Eto'o handed Barcelona draw

Soccernet
 
Teh teh teh walitufunga na baridi lao final Moscow wakumbuka?

...No, mwezi May tayari theluji ishasahaulika huko. Hizi games zitakuwa miezi ya winter mpwa... wana kaaaaaazi kweli kweli kina Belo na Eqlypz mwaka huu...!
 
I cannot see Arsenal going through ....pamoja na kuwa na timu dhaifu!
 
kwahio alio tubeba van de sar na john terry au ndio mtu akiishiwa cha kusema huwa anatamka tu lolote? makundi yamechaguliwa mbele ya macho yako na bado unahisi umeibiwa.hio inaitwa lack of confidence with ur team bro lool.

Kile ni kiini macho tu. Kwani unadhania waendesha makasino wanaishije?
 
...I cant wait kuwaangalia Manure wakicheza game zao kule Moscow kipindi cha winter kali! lazima wafungwe tu kwenye zile frozen pitch!...

Maneno ya John Brewin
 
Arsenal inasaidiwa kwa kila jambo....lakini haisadikiki
 
I cannot see Arsenal going through ....pamoja na kuwa na timu dhaifu!

...najua unajiliwaza tu. Arsenal sio wabaya wako, mchawi wako nanihii huyo, huyo aliye pick 1st slots ..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ha ha haa...
 
Duh Mr. Bean wa Bongo... HAdi humu bado unatype Arses special thread?? Basi Sorre, nilikuwa sijaelewa unazi umekukolea

Basi na mie naanza wiki ijayo...

Etoo Got his Karma return!!
Eto'o handed Barcelona draw

Soccernet​
etoo vs barcelona will be the best to watch.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…