Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
BONGE LA MECHI: Ni UEFA 2013 semifinal kati ya Bayern Munich na Barcelona.
Champions League hii ya leo Apr 23, 2013, itakuwa kali sana.
Stay connected with JF Sports kupata Live Updates.
===
Uwezekano wa timu mbili kutoka Ujerumani au timu mbili kutoka Uhispania kukutana mwezi ujao katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League bado uko hai, na majibu, dalili za nani zaidi zikaanza kuonekana baada ya matanage wa leo.
Ni baada ya timu za Uhispania na Ujerumani kutenganishwa katika droo iliyofanywa katika makao makuu ya shirikisho la soka ulaya UEFA ya nusu fainali.
Fainali itafanyika uwanja wa Wembley jijini London huenda ikawa pambano jingine la Ujerumani na Uhispania.
Bayern Munich ambao walishindwa katika fainali mwaka jana, na ambao tayari wamenyakua taji la Bundesliga, wanaangushana na viongozi wa La liga Uhispania.
Katika mchuwano mwingine, Borussia Dortmund watakabana koo na Real Madrid wakati wawakilishi wa miamba ya sasa ya soka barani Ulaya wakiumiza nyasi.
Mechi za mkondo wa kwanza utachezwa leo Aprili 23 na kesho 24, huku za mkondo wa pili ukichezwa Aprili 30 na Mei mosi.
Fainali itachezwa jijini London katika uga wa Wembley mnamo Mei 25.
===
Kagombanieni nafasi ya 3 kama Arsenal,Spurs,Chelsea ktk EPL,na nyie ktk Serie A ili mje upya tena ktk kombe la wanaume next season,sio staili yenu ya kupaki gari,refa kuwabeba na magoli ya mkono na kupeta penati za wazi.Kukosemakana kwa AC Milan katika hatua hii imepelekea Mashindano kukosa Ladha...
Kwa kuwa natamani sana kombe liende Spain basi nalazimika kuiombea mema Barca kama Yanga walivyoishangilia Simba dhidi ya Azam. Japo ni nafuu kwa Marid kucheza fainali na Bayern kuliko Barca.
Kagombanieni nafasi ya 3 kama Arsenal,Spurs,Chelsea ktk EPL,na nyie ktk Serie A ili mje upya tena ktk kombe la wanaume next season,sio staili yenu ya kupaki gari,refa kuwabeba na magoli ya mkono na kupeta penati za wazi.
Kagombanieni nafasi ya 3 kama Arsenal,Spurs,Chelsea ktk EPL,na nyie ktk Serie A ili mje upya tena ktk kombe la wanaume next season,sio staili yenu ya kupaki gari,refa kuwabeba na magoli ya mkono na kupeta penati za wazi.
hii game ni kati ya mtu mmoja (messi) vs eleven players (buyern). huyu jamaa awapo uwanjani ni tatizo kwa timu pinzan. wachambuzi wa soka wengi wanasema uwepo wake uwanjani hushusha morali kwa timu pinzania. rejea mechi yao na PSG ya marudiano baada ya huyu jamaa kuingia.
Basi leo jiandae na pampas kwa sababu mkoloni atamsababishia Nessi ahare uwanjani
angalia vituo vyote vya luninga vitakavyo rusha game hii uone wachambuzi watakuwa wanamzungumzia nani. hapo ndo utajua nepi utashika wewe. hivi sasa nasikiliza dw radio kipindi cha michezo anazungumzwa megician
Unaangalia mpira kwa kutumia wachambuzi? Ndio maana unatoa makamasi kumbe, sasa endelea kukaririshwa na wachambwauzi wako pepa iko saa 9:45 usiku, maaaamake!
You wish, Madrid wanaweza kupata shida sana kwa Wajeruman lakini sio wacatalunya!
hii game ni kati ya mtu mmoja (messi) vs eleven players (buyern). huyu jamaa awapo uwanjani ni tatizo kwa timu pinzan. wachambuzi wa soka wengi wanasema uwepo wake uwanjani hushusha morali kwa timu pinzania. rejea mechi yao na PSG ya marudiano baada ya huyu jamaa kuingia.
Yeah, ila huyu Mtoto lazima akutoe Jasho.
gotze kutua bayern next season.