Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
twente 2 inter 2 etoo kachomoa.
Inter Milan hali yao si nzuri saaaana. Ndo madhara ya ku-replace kichwa na mtu kama Benitez
barcelona 3 panathiakos 1 half time.
Naona mtaalamu Messi anazifumania nyavu tu. Man U kule wameshikwa pabaya!
Dah hili kundi la Man UTD naona linamashaka mwaka huu...au nitimu yetu mashaka?? 6 minutes added time..bado Ubao wa magoli umenuna tu
mabadiliko aliyoyafanya ferguson leo.
Nimeona ila sijui fikra zake zipoje mana hii Ligi siyakufanyia majaribio wachezaji..hawa walitakiwa wapewe kama Mbili za afya!mabadiliko aliyoyafanya ferguson leo.
Yes, walionesha match day 1&2 na wakasema wataonesha hadi mechi ya fainali hapo May.ATN waonyeshe UEAFA mmh! watakuwa wamepotea njia au....