Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
goaaal mila sneijder 1-1.
yaap game imechangamka sana.Inter sasa wanaanza kutia presha ya kisawasawa.
goaaaaaaal barca 1 ,pedro assisted by computer (messi).
wewe nawe unampenda Messi kupita kiasi, yaani zile nne zimewapa ugonjwa kabisa. Messi hakugusu ile move. Maxwell amekimbia mita nyingi na kutoa cross iliyoenda moja kwa moja kwa mfungaji (Pedro).