Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,573
- 16,365
Salaam wakuu,
Kama heading inavyodokeza, nimeconnect cyberghost vpn kwa muda wa dakika 12 tuu lakini nimekuta nimekuwa tracked 70 times! Hapo hua siongelei siasa, sihamasihi maandamani, simtukani Pogba na mwanae mpendwa! Je wanaokosoa serikali si kutakuwa na watu wanasikiliza mawasiliano yao na kusoma text zao 24/7!? Nobody is safe.