UDSM yavikandia Vyuo East Africa kwa umaarufu 2013

Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,071
347
Top 100 Universities in Africa in 2013

Posted by Editor / December 23, 2013 - Nakuwekea link hapa kama ili utazame mwenyewe.

Top 100 Universities in Africa in 2013 | THE AFRICAN ECONOMIST

Share on facebookShare on twitterShare on emailShare on pinterest_shareMore Sharing Services455

The rankings of Africa's top higher education institutions is provided by the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu is an international higher education search engine and directory reviewing accredited Universities and Colleges in the world. 4icu.org includes 11,160 Colleges and Universities, ranked by web popularity, in 200 countries.
A quick look shows that South African universities dominate the top despite the fact that South Africa ranks very low on the quality of education in the world.

1 University of South AfricaSouth Africa
flags_of_South-Africa.gif
2 University of Cape TownSouth Africa
flags_of_South-Africa.gif
3 Universiteit StellenboschSouth Africa
flags_of_South-Africa.gif
4 University of Dar es SalaamTanzania
flags_of_Tanzania.gif
5 University of KwaZulu-NatalSouth Africa
flags_of_South-Africa.gif
6 University of PretoriaSouth Africa
flags_of_South-Africa.gif
7 Cairo UniversityEgypt
flags_of_Egypt.gif
8 University of the WitwatersrandSouth Africa
flags_of_South-Africa.gif
9 University of the Western CapeSouth Africa
flags_of_South-Africa.gif
10 Obafemi Awolowo UniversityNigeria
flags_of_Nigeria.gif

Du! kuna nchi za Africa Mashariki hapa kama wangetupiku wangetuchonga sana! Watanzania tukaze buti na tujiamini. TUNAWEZA, TUNASONGA MBELE!

UDSM, wameki-rank # 4 but in real sense it does above that, nahisi it were more wise kama wangekiweka at least no.1.....
Afterall najua watakuja akina nani kukikejeli, but before you object, commence judging ;-
★quality of education, alumni and staffs of UDSM winning nobel prices & field medals
★highly cited researches, hapa let us broadly focus on those reseaches done under CoNAS...
★articles and papers indexed in social citation...
★contribution of graduants to the country...
 
Top 100 Universities in Africa in 2013

Posted by Editor / December 23, 2013 - Nakuwekea link hapa kama ili utazame mwenyewe.

Top 100 Universities in Africa in 2013 | THE AFRICAN ECONOMIST

Share on facebookShare on twitterShare on emailShare on pinterest_shareMore Sharing Services455

The rankings of Africa’s top higher education institutions is provided by the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu is an international higher education search engine and directory reviewing accredited Universities and Colleges in the world. 4icu.org includes 11,160 Colleges and Universities, ranked by web popularity, in 200 countries.
A quick look shows that South African universities dominate the top despite the fact that South Africa ranks very low on the quality of education in the world.

Du! kuna nchi za Africa Mashariki hapa kama wangetupiku wangetuchonga sana! Watanzania tukaze buti na tujiamini. TUNAWEZA, TUNASONGA MBELE!

Hongera na asante kwa kazi nzuri ya kutujuza.
 
Hizi ranks za ubora mnazilinganisha vp na maendeleo ya nchi?,maana kwa wenzetu chuo kikiwa cha kwanza kwa ubora ina maana pia kimechangia kwa kiwango kikubwa kwenye maendeleo ya jamii,mfano kwenye nyanja ya teknolojia,sasa mtueleze kuna uvumbuzi gani chuo kimefanya kutatua tatizo la umaskini kwenye nchi yetu?,kukaa kushabikia kama wanaongoza si msaada kwa maendeleo ya nchi
 
UDSM, wameki-rank # 4 but in real sense it does above that, nahisi it were more wise kama wangekiweka at least no.1.....
Afterall najua watakuja akina nani kukikejeli, but before you object, commence judging ;-
★quality of education, alumni and staffs of UDSM winning nobel prices & field medals
★highly cited researches, hapa let us broadly focus on those reseaches done under CoNAS...
★articles and papers indexed in social citation...
★contribution of graduants to the country...

hizo sifa ni kwa vipi zimeondoa umaskini wa mtanzania?
 
Hizi ranks za ubora mnazilinganisha vp na maendeleo ya nchi?,maana kwa wenzetu chuo kikiwa cha kwanza kwa ubora ina maana pia kimechangia kwa kiwango kikubwa kwenye maendeleo ya jamii,mfano kwenye nyanja ya teknolojia,sasa mtueleze kuna uvumbuzi gani chuo kimefanya kutatua tatizo la umaskini kwenye nchi yetu?,kukaa kushabikia kama wanaongoza si msaada kwa maendeleo ya nchi

Mkuu, website ya taasisi iliyofanya hizo rankings iko hapo juu. Nadhani wao ukiwauliza watakupa vigezo vyao.
 
acha unafiki fanya kazi uondoe umaskin sio unategemea waliosomea UDSM wakuondolee umaskin,wahimize wenzako pia wafanye kazi,hakuna msomi atakae kuletea pesa,jitume.UDSM 4EVER
 
UDSM, wameki-rank # 4 but in real sense it does above that, nahisi it were more wise kama wangekiweka at least no.1.....
Afterall najua watakuja akina nani kukikejeli, but before you object, commence judging ;-
★quality of education, alumni and staffs of UDSM winning nobel prices & field medals
★highly cited researches, hapa let us broadly focus on those reseaches done under CoNAS...
★articles and papers indexed in social citation...
★contribution of graduants to the country...

Nikijua ni cha nne kwa kigezo gani ntaamini ulichoandika.
 
Hongera UDSM u deserve da best nakumbuka cku nilipograduate pale mwaka 2009 nikiwa na furaha ya kutimiza ndoto yangu ya kufika mlimani!
 
Kwenye vyuo 100 bora africa, ni vyuo 2 tu vya TZ vimeingia kwenye list. UDSM aka MLIMANI aka HILL na SUA. Vilivyobakia ni muza uza hata uwe na div zero wanakuchukua ilimradi wapate pesa za ada toka serikalini. Ninafurahi sana kuwa nimesoma Mlimani
 
kweli chuo hiki kikubwa ni cha nne africa, but pia tukumbushane hivi hii nchi ni ya ngapi vile kutoka chini kwa ufukara????
 
yaani unategemea udsm watoe shida zako badala ya viongozi wako halafu wanaoikandia udsm hawajasoma hapo
 
Back
Top Bottom