UDSM yatoa round 8

UDSM yatoa round 8

neurosurgeon

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
376
Reaction score
355
Wakuu UDSM yatoa round 8 jina langu halipo na ndio round ya mwisho da inasikitisha sana.
 
wwe kama nacte washakupangia UDSM ww nenda chuoni kachukue admission letter usjiangaishe na hayo majina yanayotolewa na chuo,, wewe nenda chuo wakibusha bisha unawaonyesha notification yako kutoka nacte ya kuwa umekuwa selected hapo
 
duuh! naomb kusaidiwa na mm nacte wamenichagua tang first selection lkn mpak leo chuo akijaniconfirm, nifanyaje.
 
wwe kama nacte washakupangia UDSM ww nenda chuoni kachukue admission letter usjiangaishe na hayo majina yanayotolewa na chuo,, wewe nenda chuo wakibusha bisha unawaonyesha notification yako kutoka nacte ya kuwa umekuwa selected hapo
mkuu hilo linawezekana kweli
 
Inasikitisha sana nimekosa pia round ya nane na nimesikitika sana hakika udsm sinto wasahau
 
Ikumbukwe kuwa kunamgogoro wa kimaslah Kat ya udsm na Nacte, mimi nipia nilikua selected Udsm, nimeenda chuo Mara nying lkn hawatak kutukomfirm, ni Kafanya uwamuz mgumu kutengua selection ili nichague vyuo vingine na Tayar nimepata Saut University mwanza, baada ya sakata hilo mkurugenz wa NACTE akakutana na Senate ya Udsm ili kujua jins ya kuwasaidia selected students, Ndo wakaachia Bach ya 8, pia Udsm wanajitoa kuchukua wanafunzi wa NACTE next year, watadeal na TCU
 
Bro Nielekeze Namimi Natenguaje Selection Ni Apply Chuo Kingine Maana Nasubir Confirmation Mpaka Leo Hamna
 
mimi nawalaumu sana nacte kama walijua wana mgogoro na udsm kwanini walivyo ongeza mda hawakutuambia tuchague vyuo upya
 
hii ni namba ya admission office ya udsm 255 22 2410513 kuna mdada anaitwa victoria lyimo ndio head wa admission section hataki maongezi sana
 
Aiseeeee kesho jamani twendeni Nacte watupange vyuo vingine,kwani mkuu umempigia cm anasemaje?
 
Back
Top Bottom