neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 376
- 355
Wakuu UDSM yatoa round 8 jina langu halipo na ndio round ya mwisho da inasikitisha sana.
wakuu udsm yatoa round 8 jina langu halipo na ndio round ya mwisho da inasikitisha sana
Ujue huna C Tatu na d mbili form four
duuh! naomb kusaidiwa na mm nacte wamenichagua tang first selection lkn mpak leo chuo akijaniconfirm, nifanyaje.
mkuu hilo linawezekana kweliwwe kama nacte washakupangia UDSM ww nenda chuoni kachukue admission letter usjiangaishe na hayo majina yanayotolewa na chuo,, wewe nenda chuo wakibusha bisha unawaonyesha notification yako kutoka nacte ya kuwa umekuwa selected hapo
duuh! naomb kusaidiwa na mm nacte wamenichagua tang first selection lkn mpak leo chuo akijaniconfirm, nifanyaje.
Bro Nielekeze Namimi Natenguaje Selection Ni Apply Chuo Kingine Maana Nasubir Confirmation Mpaka Leo Hamna
Uko wp wew!? Ukitengua chuo Leo kesho selected chuo kingine