kwanini sasa MIB na MIT ziwe bay kubwa, what is tha reason behind, operation cost zake za utoaji wa hizi course ziko juu au ni za maana sana kuliko nyingine.
Na bai zao ziko juu zaidi ya hizo mlizo zionyesha , nimepewa admission letter ada inaonyesha 6370000/= but wamenipigi asimu na wakanitumia sms ada ni 7.5 mln + 95,000 adm na student organizatio na ID.
inatisha.