Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.
Non sense, kajipange uje na mda mpya... huyo unaemzungumzia ukimuona utasema ana miaka 45...! sijui una maana gani unapotaka astaafu.......
Maelezo mazuri.
si ukaichukue hiyo nafasi kama unaipenda? wivu wa kijinga haujengi
narudia tena kama kuna mtu
anaipenda ile nafasi akaichukue milango iko wazi maneno ya kutweta na
wivu wa kijinga na wa kike hauna nafasi
Kwani mtu ukiwa na miaka 60 akili inakufa???
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani. [/
It is not about what school he went, its about how his education help our national.
slaa ana miaka mingapi? mbona hastaafu au kwa kuwa ile anayoiongoza ni NGO
slaa alikuwa mbunge kaleta mabadiliko gani karatu? mbowe kaleta maendeleo gani hai? wanaleta maendeleo gani chadema? charity begins at homeUtakuwa unafikiri kwa kutumia mkia badala ya kichwa!Tukiwa na watu kama wewe na kutegemea mabadiliko ya kimaendeleo hatufiki popote.
hivi mkandara akiwa vc nyie kinawauma nini? mbona slaa na mbowe wameshikilia hatamu kwa muda mrefu hamsemi? wivu wa kike
inasikitisha pia kuongozwa na watu wenye akili ndogo mithili ya wafuInasikitisha kuna watu wenye fikra finyu kama wewe!
Hivi katika mjadala kama huu, suala la Slaa na Mbowe linatoka wapi?
Sasa imekuwa kawaida watu kuingiza maji taka katika mijadala yote hapa JF.
Common sense is not so common. Labda hilo ndio maelezo pekee.
Sistahili kukujibu kama ni wajibu wake ama la, tasnia ya elimu ya juu ina mambo tofauti kidogo.. prof wa chuo kikuu huwez kumfananisha na mfanyakazi wa TRA ambaye umri ukufika lazima astaafu, hapa tunaongelea wasomi ambao wapo wachache katika nchi, utamlazimisha vip astaafu mapema?Kwani ni lazima aonekane amezeeka ndo astaaf au anatakiwa kustaaf au umri ukifika anatakiwa astaaf?
slaa ana miaka mingapi? mbona hastaafu au kwa kuwa ile anayoiongoza ni NGO