UDSM yaongozwa na Mstaafu

Non sense, kajipange uje na mda mpya... huyo unaemzungumzia ukimuona utasema ana miaka 45...! sijui una maana gani unapotaka astaafu.......
 
Mimi mambo ya Chuo Kikuu mgeni bwana elimu yangu ya kidato cha 4 division 5
 
Ukisikia jina la mbowe huwa unawashwa. Naona unahamu akukune!

sidhani Kama mtu aliyestaaribika na aliyefunzwa adabu anaweza kutamka maneno hayo kwa kiongozi wako aniline Mimi? huna adabu.
 
Umejichanganya na unataka kuchanganya watu. inabidi kwanza astaafu ndiyo afanye kazi kwa mkataba kwa kipindi cha miaka 10
 
slaa ana miaka mingapi? mbona hastaafu au kwa kuwa ile anayoiongoza ni NGO

We kweli punguwani..kwani mangula ana miaka mingapi?au 43?bila kumtaja slaa hamuoni raha..mtakatwaaa
 

Kufundisha?who is talking about kufundisha?umewah kumuona mukandara akifundisha?
Guys hao wazungu wamewapa nn kwani kusoma that university ndo nn? Anatakiawa kustaaf that's t kama serokali itaamua kumpa mkataba mwingine that's another deal
 
MTOA POST-huu MDA uliotumia kuandika habari ZA prof.mkandara wa UDSM ungekuwa umebuni ANDIKO la MRADI huoni ungekuwa umejikwamua NA UMASKINI???-Ondoa mayai viza ya majungu KICHWANI MWAKO,JADILI MAENDELEO.
 
Mwanzoni sikuelewa kama hii thread inahusiana na siasa, sasa itabidi nikae kimya tu
 
Maelezo mazuri.
 
MTOA POST-huu MDA uliotumia kuandika habari ZA prof.mkandara wa UDSM ungekuwa umebuni ANDIKO la MRADI huoni ungekuwa umejikwamua NA UMASKINI???-Ondoa mayai viza ya majungu KICHWANI MWAKO,JADILI MAENDELEO.

Hz dharau zingine za kijinga sana
Na ww muda huununatoa hay a majibu kama ubongo wako umechacha je si ungeshabuni huo mradi au ndo wale wale "much know"?
 

Professor Mkandala ni Presidential Appointee, yaani sawa tu kama walivyo mawaziri. Unataka kutuambia kwamba mawaziri waliopo kwenye Baraza la Mawaziri wakifikisha miaka 60 ndani ya awamu (yaani kabla ya awamu yao kuwa imeisha) inabidi Rais atengue uteuzi wao na kuteua wengine tena, ilhali utendaji wao hauna matatizo? Hawa huwa wanafanya kazi at the discretion ya aliyewateua, of course akipenda kutumia kigezo cha umri anaweza kuwabadilisha lakini siyo lazima, na asipowabadilisha hutakiwi kuuliza kwa nini kaamua vile
 
hivi mkandara akiwa vc nyie kinawauma nini? mbona slaa na mbowe wameshikilia hatamu kwa muda mrefu hamsemi? wivu wa kike

Sasa siasa zimetokea wp tena ?
Watu wanaingelea professionalism nyie mnaleta siasa duuuu aisee Tanzania mpaka kuendelea kazi ipo
 

Kwa professor au dactari kustaaf halaf akaomba kazi au akaomba kurudi kazini no different situations na ni mkataba mwingine but alichotakiwa kufanya mkandara ni kustaaf then aombe mkataba mpya au aombwe kupewa mkataba mpya but sio kuendelea kua na the same very position na maranyingi watu wanaorudishwa makazini ni waalimu mukandala sio mwalimu
 
hapo kwenye bold kumbe we ndo mukandala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…