UDSM yagundua Mafuta kwenye Mabonde ya Rufiji na Ruvuma

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Chuo Kikuu Cha Dsm kimefanya ugunduzi wa mafuta kwenye Bonde la mto Ruvuma na Rufiji.

My Take
Kama deposits za mafuta zitakuwa za kutosha basi Tanzania ya mwaka 2040 na kuendelea itakuwa na Maendelea makubwa.
---
  • The discovery comes at a time when the Tanzania Petroleum Development Corporation has started a geophysical survey (2D seismic) to identify areas for the drilling of deep wells for oil and natural gas research.
Dar es Salaam. The University of Dar es Salaam (UDSM) has discovered oil deposits in Ruvuma and Rufiji regions through a recent study in the areas.

UDSM conducted the study in order to get the country to stop relying on imported oil, which has recently been adversely impacted by the ongoing war between Ukraine and Russia.

For several months in a row, the war has caused the price of oil to climb in several countries. This had a significant impact on consumers, including an increase in the cost of goods across the board, until the government decided to step in to reduce the intensity by setting aside subsidies.
 
Chuo Kikuu Cha Dsm kimefanya ugunduzi wa mafuta kwenye Bonde la mto Ruvuma na Rufiji..


My Take
Kama deposits za mafuta zitakuwa za kutosha basi Tanzania ya mwaka 2040 na kuendelea itakuwa na Maendelea makubwa.
Haya mafuta wa unganishe kabisa na bandari wa mpe Dp world ina utaamu wa kuchimba na kusafirisha ili tuepuke majizi ya bongo, yenyewe yanajenga raia wana tabika na umasikini
 
Yani huku kunakucha ndiyo mnakumbuka shuka?

By the time mnaanza kuchimba mafuta yatakuwa hayana deal tena.

Matumizi makubwa ya mafuta ni kwenye magari, na magari yanakwenda kutumia umeme, watu wanataka clean energy siku hizi.
 
Kwani Tanzania ya leo haina maendeleo makubwa kwasababu hatuna rasilimali za thamani zilizogundulika?
Kama akili zenyewe ndo hizi za kusema tumewapa Waarabu BANDARI kwasababu Wafanyakazi wa BANDARI ni wezi unategemea kuna mabadiliko?
Hata dhahabu ikigundulika kila uvungu wa kitanda bado hatutatoboa.
Refer Kongo kwenye utajiri wa madini usiopimika.
 
Back
Top Bottom