UDSM wanatoa lini majina?

UDSM wanatoa lini majina?

Winning Team

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
89
Reaction score
89
Habari wakuu,
nimeona leo ardhi wametoa majina ya waliochaguliwa kozi mbalimbali kwa mwaka 2018/2019; mwenye taarifa zozote kuhusu UDSM;
ukizingatia nimeskia TCU wanataka mpaka tarehe 4 wanafunzi waCONFIRM kozi zao na vyuo husika.
 
Kwan ukiingia kwny akaunt yako ulotumia kuomba wamekuandikiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kwenye account yangu wameandika "PRIOR ADMISSION STATUS: THERE WAS A TECHNICAL ERROR RETRIEVING YOUR PRIOR ADMISSION STATUS. PLEASE LOGIN AND CHECK AGAIN LATER. "...Lakini jina langu lipo miongoni mwa majina yaliyotolewa na TCU kwamba nimechaguliwa kwenye vyuo viwili, UDSM na ARDHI; kwa upande wa ardhi nimeona lakini UDSM bado na natakiwa kuCONFIRM sasa na hata hiyo CODE sijapata
 
udsm chuo kikubwa lakini bado analogy. hii bongo hii ni shida...
 
Mi mwenyewe udzm wananiandikia PRIOR ADMISSION STATUS: THERE WAS A TECHNICAL ERROR RETRIEVING YOUR PRIOR ADMISSION STATUS. PLEASE LOGIN AND CHECK AGAIN LATER. . cjui shida nini
 
sielewi wana shida ipi sasa
 
Me pia UDSM wananiandikia ivyo.... Sjui shida ni nn jmn......
Udom pia hawasemi chochote
 
mkuu kwenye account yangu wameandika "PRIOR ADMISSION STATUS: THERE WAS A TECHNICAL ERROR RETRIEVING YOUR PRIOR ADMISSION STATUS. PLEASE LOGIN AND CHECK AGAIN LATER. "...Lakini jina langu lipo miongoni mwa majina yaliyotolewa na TCU kwamba nimechaguliwa kwenye vyuo viwili, UDSM na ARDHI; kwa upande wa ardhi nimeona lakini UDSM bado na natakiwa kuCONFIRM sasa na hata hiyo CODE sijapata
Hoy, uliconfirm udsm
 
Back
Top Bottom