Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,714
Naona kwa mbele kuna ngedere mwingine,nahisi anafanya juhudi kusapua.
Hivi ile stori kuna bidada alibakwa hapo na nyani ni kweli
Kwa sababu pale hawapigwi mkuu wangekuwa wanapigwa wasingezoea watu hivyo..Mkuu sijui kwanini wako tofauti na wa mikoani.
Ilitungwa?Siyo kweli.
Hivi ile stori kuna bidada alibakwa hapo na nyani ni kweli
Hivi ile stori kuna bidada alibakwa hapo na nyani ni kweli
Dah...ni kweli kabisa...kuna kipindi kitambo huko niliwazoesha kuwapa karanga..wakawa muda ule ule na sehemu ile ile nawakuta wananisubiri 😀 😀 😀 😀Watakuwa na elimu sana hawa nyani.
Ilitungwa?