F Fruit Senior Member Jan 1, 2013 193 54 Jul 1, 2016 #1 Habari wapendwa, Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016. Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
Habari wapendwa, Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016. Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
Naanto Mushi JF-Expert Member Oct 16, 2015 6,236 15,673 Jul 1, 2016 #3 Kwa nafasi gani mkuu? Kama ni za academic mbona walishaita kitambo?