Kapinga,
Nadhani unaongelea vitu viwili tofauti hapa. Huu mgomo umetokana na uamuzi wa chuo kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi.
Usidhani kuwa unawakomoa hawa watoto kwa kuwatuma nyumbani na kutisha kuwa hawatapata udhamini wa serikali. Hapa unacreate radicals ambao wanaweza kufanya chochote in the future kama life itaharibika kwa sababu ya udikiteta ulioonyesha kwenye hili.
Kama utatumia swala la kusimamishwa huyu kijana Mganda, Mkandala anakufunga bao kwa njia hizi.
kama nilivyosema, muda uliotolewa unatosha huyu jamaa kuwa ameenda Uganda na kurudi madam uchaguzi bado haujafanyika. huwezi kuprove kuwa uchaguzi umeingiliwa wakati bado haujafanyika.
Pili kama kweli fedha za kumpeleka Uganda ni tatizo, bado angeweza kutumiwa hicho cheti kwa kutumia register au EMS, au kama ni mzigo; na rist ya kutumiwa ingeletwa k chuoni iwapo mzigo imepotea.
Tatu kama unasema wanafunzi wa chuo walimuunga mkono kijana achaguliwe, basi wangemchangia hiyo ela ili aweze kwenda nyumbani na kurudi.
Mahakama itauliza hivi unadhani angeshinda? utasema yes, hivi unadhani waliokuwa wanamuunga mkono ni kiasi gani ? utajibu ni zaidi ya nusu then utaulizwa zaidi ya nusu ni wanachuo kama 10000 na chuo kina wanafunzi elfu 20, utasema ndio,then utaulizwa kwa nini hao watu hawakumchangia milion 1 ambapo kila mtu angechangia sh.100 ili aende kwa ndege na kurudi? mpaka mkaamua kugoma na kuandamana.
kama uchaguzi ungekuwa umeishafanyika ungesema basi chuo kimeingilia uchaguzi. ila sasa bado uchaguzi umehairishwa.
mimi ninadhani kuna mambo mengi sana yanahitaji bongo zichemke ili kusupport huu mgomo. ndio maana wale wanaopinga huu mgomo hawatumii lugha za kizandiki kama wale wa upande wa pili.
ushauri wangu kwa huyu mganda:
if you go to equity you should go with clean hands itakukuta na hatia hata kama ungeshinda vipi maana sheria ni sheria.[/COLOR]
pili ushauri wangu kwa mwafrika wa kike: if you want to prove a person wrong do it beyond reasonable doubt unless chembe yoyote itakayobaki basi hiyo itakufanya upoteze credibility.
ushauri wangu kwa yule aliyeleta kifungu cha katiba kuwa kila mtu yuko huru ilimradi havunji sheria za nchi. ukitumia hicho kifungu mahakamani umejihukumu maana hawa vijana wameonekana wakivunja sheria za nchi, kama kupiga watu waliokuwa madarasani, na maktaba, kuingia mgomo bila kibari cha DARUSO, NA Tuhuma za kuvunja vitu na kuvuta sigara.