Mwenyezi Mungu uzipe uvumilivu familia za marehemu hao.Hii ni habari ya huzuni na majonzi makubwa kwa jamii ya chuo kikuu cha Dsm.Nakumbuka enzi tunasoma pale UDSM,kwa kweli vifo vya wanafaunzi vilikuwa ni nadra sana na pale kilipotokea ubao wa matangazo ulikuwa uunazingirwa na wanafunzi kwa majonzi na huzuni kubwa sana!!
Mwenyezi Mungu zilaze roho za Marehemu mahali pema Amina, ila nanyi watu wa vyama sio kila mahali mnaingia na siasa zenu mnatukera. Anzisha mada ya kwako ilezea udhaifu wa ccm na ikbidi na serikali yake.
Jamani, Mungu kwanini kawachukua vijana wadogo hawa ambao hata hawajafikia ndoto zao, kwanini asingechukua roho za mafisadi wa escrow hata 20 akawaacha hawa vijana waliokuwa wakielekea kutimiza ndoto zao. MUNGU awape uvumilivu familia za marehemu.
Mwenyezi Mungu zilaze roho za Marehemu mahali pema Amina, ila nanyi watu wa vyama sio kila mahali mnaingia na siasa zenu mnatukera. Anzisha mada ya kwako ilezea udhaifu wa ccm na ikbidi na serikali yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.