UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

Hayo matokeo sio rasmi ndio maana mnaona majina mengine yameandikwa 'do not admit'. Haya yamewekwa na mtu asiye na ruhusa ya kufanya hivyo. List rasmi itawekwa kwenye website ya chuo baada ya mchakato kukamilika.
Tunaomba wenye tabia ya kutoa habari kabla ya muda waache kutuchanganya
 
mkuu naomb uniangalizie s0128/0567/2015 kapangiwa udsm main campas au duce
 

Yeah sio rasmi lkn ukiangalia vizuri hizo ni km work papers so ndo zitakazotumika kutoa matokeo rasmi
 

hata mi nashangaa sijui wameyatoa wap maana hata huko TCU wameongeza tena course za UDSM na watu wanaendelea kuapply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…