UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

Haya muende mkanunue subwoofer, iphone, android, mademu.. muende mliman city mkale bata pesa zikiisha mrudi msome afu mwisho wa siku wale kichwa mseme maticha wa noko!!

Aisee... Tena wale wa coet wahangilie mapemaa tuu wakishatia mguu watanyooka tu mle
 
Haya muende mkanunue subwoofer, iphone, android, mademu.. muende mliman city mkale bata pesa zikiisha muanze kula RB!!! baada bata mrudi muanze kusoma afu mwisho wa siku wale kichwa mseme maticha wa noko!!

haha wasubilie na baraka za mjomba heslb
 
Aisee... Tena wale wa coet wahangilie mapemaa tuu wakishatia mguu watanyooka tu mle

Huko ndo penyewe...unaenda unajidai una wani kusoma hutaki...watu wanakwangalia tuuu...mwisho wa siku wanakula kichwa
 
karibuni sana wadogo zangu

mnaokuja kusoma bsc chemistry mnaweza ni pm kwa ushauri zaidi niwape na madesa
 
haha... mnanipa midhuukaa nyiee wadau...
 
Jaman msaada vp hayo majina ya waliochaguliwa unaangalia vp mbona mi kwnye simu yangu not supprted format,na je mbona katika web y udsm hakuna ilo tangazo na katka profile zetu cas hakuna kilichobdlika? naombeni majbu anaefaham wakuu.
 
karibuni sana wadogo zangu

mnaokuja kusoma bsc chemistry mnaweza ni pm kwa ushauri zaidi niwape na madesa

Kuna ushauri gan mkuu mpaka pm, kwa nn usiweke hapa wadau waone wajifunze zaidi??
 
ivi___naweza yapata wapi aya majina nikaangalia kama web gani... apa naona nashindwa kudauniload natumia simu

hayapo katika pdf tumia pc au install microsoft outlook playstore au nipe jina nikuangalizie
 
Back
Top Bottom