January3101
Member
- Aug 25, 2017
- 37
- 13
Kunamabadiliko kdg kwenye account yangu,,,, hebu jaribu kucheki yako!
Kwa watakaokwenda TCU/UDSM kuulizia hili swala tunawaomba watuletee mrejesho
Mbona wameshatoa hiyo remark. Angalieni. Pia axmission forms zinatolewa
Umeenda chuo mkuuRemarks ilishatolewa but VIP kuhusu admission letter? Maana jna langu bado Hali tokei kwenye list yao. Tusaidiane hapo jamani
Kama imeshaondelewa nenda chuoni kachukue admission letter,Remarks ilishatolewa but VIP kuhusu admission letter? Maana jna langu bado Hali tokei kwenye list yao. Tusaidiane hapo jamani
Kama imeshaondelewa nenda chuoni kachukue admission letter,
Duuh pole mkuu but MUNGU atajaalia tatizo litaisha mkuu,Nilienda jana wakaniambia jina langu halipo niendelee kusubiri.
Jamani hata Mimi Nina tatizo kama hilo, hadi kufikia sasa nimeanza kuingiwa na wasiwasi juu ya mustakabali wetu, wengi tumesha CLEAR TCU, lakini mbona bado hatuondolewi hiyo status kwenye remarks hapo na muda unazidi kwenda ?
Hivi TCU hawajawapa tu mrejesho watu wa vyuo hadi sasa kuhusu hili kundi kweli !
Jamani wahanga wenzangu, naomba tushirikiane, kwa wale mliopo Dar naombeni japo wawili watatu muende TCU mkaulizie juu ya hatma yetu na pia mfike hadi Chuo (UDSM) mkaulize ili tujue tunasimamia wapi...
Tafadhalini sana mlioko Dar na mna tatizo hili mtusaidie na kutupa mrejesho kwenye Uzi wetu huu.
Mlishawahi kusoma au kusajiliwa chuo kabla ya hii application ya mwaka huu?Habari wana janvi naomba msaada kwa yeyote aliechaguliwa UDSM Round ya kwanza na akaandikiwa " Currently a continuing student in another institution. Acceptance pending TCU verification and approval. Please contact TCU "
Kuna uwezekano kweli wa kupata admission? maana mimi nili-clear TCU lakini mpaka sasa jina langu halionekani chuoni na kwenye akaunt yangu bado inasoma vilevile.
Mlishawahi kusoma au kusajiliwa chuo kabla ya hii application ya mwaka huu?
Mara nyingi tatizo linakua hilo.. Yaan mwaka jana ulisajiliwa na hukwenda...ila kama uli clear basi haina tatizo ila ni vyema ukafwatilia pia kwa uhakika zaidi!Hapana hatukuwahi kusoma , tulichaguliwa mwaka jana ila hatukureport chuoni , na hii ishu tulisha clear TCU kitambo sana ila vyuo vingine DIT, MUHAS, ATC wao tayari walishatoa majina ya walio clear wenye ishu exactly kama yetu long ago. but UDSM cjui kuna agenda gani ya siri inaendelea.
Mbona wameshatoa hiyo remark. Angalieni. Pia axmission forms zinatolewa
Kunamabadiliko kdg kwenye account yangu,,,, hebu jaribu kucheki yako!
Mbona umesahau kufuta code yake mkuu. (UD012)
Mm tayari nimepata. Na nilikua na hlo tatzoAliepata Admission form na alikuwa na tatzo la pending TCU atujuze