NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
kama mnataka kuwa maprograma wa ukweli njooni UDOM Informatics ,
Mimi hua ni mfuatiliaji sana wa mambo hasa ya technology. UDSM kama chuo kinachoongoza Tanzania nilikua nategemea watakua mstari wa mbele kuendana na mabadiliko kwenye technology.
Nimepitia Syllabus yao ya hawa wanaoenda kusoma Computer Science/Engineering, yaani first year semester zote mbili Introduction to programming in Pascal.
Hivi nani dunia hii bado anatumia Pascal? Why learn a language ambayo hutokuja kuitumia mbeleni hata siku moja, hakuna industry inatumia Pascal siku hizi, na hakuna anayetafuta kujiajiri au kuajiri mtu mwenye experience na Pascal.
Miaka yote naona course outline haibadiliki, hawapangi kitu kipya, everything is old. Kuna languages nyingine nyingi nzuri zinazofaa kumpa mtu introduction into Programming, Python being one of them au angalau C japo watu wanalia "pointers, dynamic memory allocation" ila ni vitu vikielezwa vinazoeleka vizuri tu. No wonder serikali inalalamika daily kua watu vijana wanaomaliza Tanzania hasa engineering courses hawana uwezo wa kujiajiri.
Ni vizuri kuwapeleka speed wanafunzi kuanzia mwaka wa kwanza sio wanagusa vitu boring wanapoteza interest.
Natamani sana kujifunza IT hasa programming ingawa sina basic yoyote. Wapi naweza kupata hyo elimu kwa muda nje ya muda wa kazi??
Mimi hua ni mfuatiliaji sana wa mambo hasa ya technology. UDSM kama chuo kinachoongoza Tanzania nilikua nategemea watakua mstari wa mbele kuendana na mabadiliko kwenye technology.
Nimepitia Syllabus yao ya hawa wanaoenda kusoma Computer Science/Engineering, yaani first year semester zote mbili Introduction to programming in Pascal.
Hivi nani dunia hii bado anatumia Pascal? Why learn a language ambayo hutokuja kuitumia mbeleni hata siku moja, hakuna industry inatumia Pascal siku hizi, na hakuna anayetafuta kujiajiri au kuajiri mtu mwenye experience na Pascal.
Miaka yote naona course outline haibadiliki, hawapangi kitu kipya, everything is old. Kuna languages nyingine nyingi nzuri zinazofaa kumpa mtu introduction into Programming, Python being one of them au angalau C japo watu wanalia "pointers, dynamic memory allocation" ila ni vitu vikielezwa vinazoeleka vizuri tu. No wonder serikali inalalamika daily kua watu vijana wanaomaliza Tanzania hasa engineering courses hawana uwezo wa kujiajiri.
Ni vizuri kuwapeleka speed wanafunzi kuanzia mwaka wa kwanza sio wanagusa vitu boring wanapoteza interest.
Programming hakuna source nzuri zaidi ya internet. Kuna kila kitu unachotaka kujua kwenye internet.
Kama ndio unaanza kabisa from scratch ni vizuri kuanza na video tutorials ili uweze kuona na kumsikia mtu anaelekeza cha kufanya la si hivyo mwanzo unaweza kuuona mgumu sana kama utaanzia kwenye kusoma maandishi.
Kuna videos nyingi sana za programming Youtube, unachagua language unayotaka kuanza nayo, ntakushauri uchague kati ya Python au C, Python ni nyepesi iko juu juu, C ni challenging kidogo kuliko Python japo inakufundisha mambo mengi zaidi kwa sababu ina features nyingi ambazo zinakuruhusu kuaccess mambo ya chini kabisa kwenye computer ambayo Python imejaribu kuyaficha usiguse.
Kama utachagua Python unaweza anza na hizi videos hapa
https://www.youtube.com/watch?v=HBxCHonP6Ro&list=PL6gx4Cwl9DGAcbMi1sH6oAMk4JHw91mC_
Kama utapenda kuanza na C pia videos hizi hapa
https://www.youtube.com/watch?v=2NWeucMKrLI&list=PL6gx4Cwl9DGAKIXv8Yr6nhGJ9Vlcjyymq
Hiyo ni playlist, unaangalia video moja hadi nyingine.
Huyo jamaa anafundisha kuanzia basics kabisa ana-assume huna experience yoyote na programming. Ukimaliza playlist hiyo sasa kama hujui uende direction ipi unaweza rudi kuuliza, kuna sehemu nyingi tu za kwenda. At first inaweza ikawa boring ila itafika muda utaona utamu wake,unaweza ukaona tatizo lolote lile duniani linaweza likawa solved kwa programming.
Aisee! yaani hatua ile ya Elimu mtu anafundishwa Pascal!
Ni hatari sana.
Watanzania watachelewa sana kuwa wataalamu katika ulimwengu wa "Programming".
Eh bana tuende mbele turudi nyuma udom pale informatics wapo vzuri mi pia nakwazwa sana na hili swala la udsm kusoma pascal yani sijui wanafikiria nin hawa jamaa dunia tuliyonayo sasa sio ya pascal aseh naomba wahusika wapite huku wabadili huu uwozo
Programming hakuna source nzuri zaidi ya internet. Kuna kila kitu unachotaka kujua kwenye internet.
Kama ndio unaanza kabisa from scratch ni vizuri kuanza na video tutorials ili uweze kuona na kumsikia mtu anaelekeza cha kufanya la si hivyo mwanzo unaweza kuuona mgumu sana kama utaanzia kwenye kusoma maandishi.
Kuna videos nyingi sana za programming Youtube, unachagua language unayotaka kuanza nayo, ntakushauri uchague kati ya Python au C, Python ni nyepesi iko juu juu, C ni challenging kidogo kuliko Python japo inakufundisha mambo mengi zaidi kwa sababu ina features nyingi ambazo zinakuruhusu kuaccess mambo ya chini kabisa kwenye computer ambayo Python imejaribu kuyaficha usiguse.
Kama utachagua Python unaweza anza na hizi videos hapa
https://www.youtube.com/watch?v=HBxCHonP6Ro&list=PL6gx4Cwl9DGAcbMi1sH6oAMk4JHw91mC_
Kama utapenda kuanza na C pia videos hizi hapa
https://www.youtube.com/watch?v=2NWeucMKrLI&list=PL6gx4Cwl9DGAKIXv8Yr6nhGJ9Vlcjyymq
Hiyo ni playlist, unaangalia video moja hadi nyingine.
Huyo jamaa anafundisha kuanzia basics kabisa ana-assume huna experience yoyote na programming. Ukimaliza playlist hiyo sasa kama hujui uende direction ipi unaweza rudi kuuliza, kuna sehemu nyingi tu za kwenda. At first inaweza ikawa boring ila itafika muda utaona utamu wake,unaweza ukaona tatizo lolote lile duniani linaweza likawa solved kwa programming.
Unataka kusema Mwaka mzima wanasoma Pascal tu bila kusomaLanguage nyingine?
Si mtaalamu wa Programming ila Usidharau kitu chochote I have plenty of Good softwares written in Pascal usije hapa kuwaaminisha watu ati Pascal haina maana ulimwengu wa leo.
And Mind You Chuo kama UDSM sidhani kama wao ni ndezi kiasi hicho nachojua Vyuo vya Tanzania wanafundisha Wataalamu wa Kimataifa
Nimesoma Chuo ila kuna vitu tumejjifunza sio Common nchini kwetu ila nchi za jirani vipo,siwezi kusimama kasema chuo changu wali Bugi kunifundisha kitu ambacho hakipo kwetu.
who knows my future? si ajabu kaenda kufundisha au kufanya kazi ambako hicho kitu ambacho nakidharau kipo au kinatumika
Mkuu kwanza kabisa heshima mbele,
Nami ni mmoja kati ya watu walio inlove with Coding ila kwa sasa nimeanza kidoogo kusoma html & css mkuu naweza pata link nzuri yenye vitabu vya hii course!!