nadhan upo UDSM ya MSOGAAcha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari
Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari
Mpaka madogo wote walioko mtaani kwa kukosa mkopo watakapopewa,na hao raia wenzetu 15 walofukuzwa chuo watakapo rejeshwa chuon ndo na sisi tutafungua chuo.
nadhan upo UDSM ya MSOGA
Toka hii sredi imeanza sijaona update yoyote ya huo mgomo mnaoungelea...kazi kupingana na facts ninazowapa!wizi mtupu
hivi unalipwaga nini kuongea uongo na hizo pu....mba???
Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari
Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari
sio uongo, aache mambo ya kikeAcha uwongo wewe
fix man,kwa kuwa unapajua ud basi ndio unataja as if u know ndani admstn kuna nini,hata kama upo hapo pengine ni unasubiri daladala hapo kituon.naona punga upo kazini.
Naomba kujua na nimesikia hivi asubuhi kuwa 45 wamepelekwa segerea can you friends connfirm it?