Haya haya wale waliokuwa wanawangoja UDSM twende sasa
hongera mkuu wap sasa?Oyooooo imooooooo
Inafunguka mkuu labda mtandao uwe unazingua kwakombnaaa aifungukiii
download adobe readermbnaaa aifungukiii
Inafungukambnaaa aifungukiii
Hongera mkuuu naskia hapo msuli 80% bata 10% kupumzika 10%NAMSHUKURU SANA MUNGU
TAREHE 8/10 NDANI YA MJENGO
Karibu sana UDSM kijana...NAMSHUKURU SANA MUNGU
TAREHE 8/10 NDANI YA MJENGO
Kupakatana haooooKaribu sana UDSM kijana...
Itakua njema sana kama utaniPM..!!!
Wakubebwa haaaaaaaaooooKupakatana haoooo
Haya haya wale waliokuwa wanawangoja UDSM twende sasa