Karibu asilimia 30 ya wanachuo( udsm) walofanya mitihan yao ya supp/special wamejikuta wakidumbukia kwenye kiitwacho carry over,source; mmoja wa wadau wa mambo ya elimu

ivi ARIS unajuaje kama umepass supp au una carryover maana mm yangu GPA imeongezeka afu kwenye remark wameandika pass ila kwenye sehemu ya maksi za masomo nliyo supp hawajajaza kitu

mhh perry, mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadam ni mchungu,we si ndio unayeleta mada za vyuo humu.
Mpigamsuli endelea na game,hakuna droo yoyote na perry