UDSM na UDOM wapi niende?

UDSM na UDOM wapi niende?

Mkuu instructional design and information technology inahusu nini?? Soko lake lipoje? Kuna dogo kapelekwa Udom kwa coz hii
Mkuu mimi sina uzoefu na hii kitu lakini wanasema
"Instructional Design is the systematic development of instructional specifications using learning and instructional theory to ensure the quality of instruction. It is the entire process of analysis of learning needs and goals and the development of a delivery system to meet those needs". Kwa maelezo zaidi ingia
www.instructionaldesigncentral.com/whatisinstructionaldesign na hapo wanaongelea instructional design na educational technology.
Pia unaweza kutafuta prospectus ya UDOM kwenye site yao naamini wataweka program structure inayo onyesha courses wanatakiwa kufanya.
 
Nami naomba msaada wa mawazo kwa dogo, wajuzi wa mambo BA in Economics (UDSM) na Banking and Finance (IFM)....best choice ni ipi?
 
Nenda udsm - Sawa mkuu.
Nenda udom-Sawa mkuu.
Mbona kama hukuitaji ushauri.
 
Mimi nakushauri kasome Education.

Ila kama unasoma ili walau usome tu hata usipoajiriwa its okaay basi kapige hiyo Political Science.

Nna rafiki yangu amesomea mambo hayo na falsafa UDSM, mpaka sasa bado kugumu aiseee na amepambana kweli.
 
Udom n Political sciences and public admnxtration
UDSM ni Bachelor of arts in education

UDOM kwa sababu moja kubwa utapata Malazi kwa miaka zote utakazosoma hapo Chuoni.
 
Udom n Political sciences and public admnxtration
UDSM ni Bachelor of arts in education
Zote kozi mbovu.
Kwa hapo atleast education unaweza kuja kujiongeza kufundisha japo "twisheni"
 
Pia km unataka education n Bora uende udom then utabadl coz na kuchulia edn in special need iko vzr kiukwel au km vp ahirisha mwaka then mwakan tafuta chuo chenye deafblind kasomee iyo coz
kubadili kozi sio kama kubadilisha kombi A level
 
Back
Top Bottom