tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Mwanzo mlisema hela ya kukodi joho ni tsh. 42,000 { sijajua mmetumia vigezo gani}, kabla ya hili halijaisha wamekuja na sh. 5000 ambayo hawakuisema mwanzon, wanadai ya mhur na TRA. Hivi kuvaa joho pekee nitumie 47,000 kwa lipi hasa? Tafuten pesa lakin si kwa stahil hii.
kaka sio lazima uvae joho ndo uonekane ume graduate!!!! What matters umehitimu na jina lako litasomwa kwenye orodha ya wale wanaopaswa kutunukiwa degree. Kama unataka kuuza sura kazi kwako inabidi 47000 zikutoke, otherwise inabidi upotezee, hapo bado gharama ya Nauli kukutoa Kigoma na kukurudisha.
Acha ubahili we dogo, kama unaweza shona lako na uendenalo tuone kama watakutimua. halafu mwakani utawakodishia wengine.
ndo mana mimi nimeamua kutofanya coz haina maana yoyote kwangu!
Lakini kuna kiasi cha fedha hapo utarudishiwa iwapo utalirudisha joho likiwa salama!
udsm??!!.. ndo nini?.
udsm ni viazi mviringo.
hahahahahahaha...
mkali umeniacha hoi...
udsm ni viazi mviringo.